If I Ruled the World (Imagine That)

“If I Ruled the World (Imagine That)”
“If I Ruled the World (Imagine That)” cover
Single ya Nas featuring Lauryn Hill
kutoka katika albamu ya It Was Written
Imetolewa June 4, 1996
Muundo CD single
Imerekodiwa 1995
Aina Hip hop
Urefu 4:42
Studio Columbia
Mtunzi Nasir Jones
Jean-Claude Olivier
Kurtis Walker
Samuel Barnes
Mtayarishaji Trackmasters
Rashad Smith
Mwenendo wa single za Nas featuring Lauryn Hill
"One Love"
(1994)
"'If I Ruled The World (Imagine That)" (akiwa na. Lauryn Hill)
(1996)
"Street Dreams"
(1996)
"Live Nigga Rap"
(13)
"'If I Ruled The World (Imagine That)"
(14)
"Silent Murder"
(15)

"If I Ruled the World (Imagine That)" ni wimbo mkali wa mwaka wa 1996 kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Nas akimshirikisha Lauryn Hill wa The Fugees. Wimbo unatokana na ngoma kama hii ya mwaka wa 1985 ya rapa aliyekwenda kwa jina la Kurtis Blow na kuchukua sampuli ya biti ya wimbo wa "Friends" wa Whodini. Huu ndio wimbo wa kwanza wa Nas wa R&B kuingia katika Ishirini 20, na ulipata kuteuliwa mwaka 1997 kwenye Grammy Award for Best Rap Solo Performance. Mashairi ya Nas yanajadili mambo mbalimbali iwapo ataiongoza dunia na kila kitu kichomo ndani yake. Wimbo huu huhesabiwa kama moja kati ya nyimbo kali za rap na machapisho mengi sana. Ikiwa ni pamoja na kuingizwa nafasi ya 88 kwenye orodha ya Nyimbo Bora za Miaka ya 1990.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy